Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango ametembelea na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa chujio la maji uliopo eneo Mangamba mkoani Mtwara.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mtwara akumuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kuhusu Chujio la Mangamba
Uzinduzi wa Chujio la Mangamba