Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Ndugu Godfrey Eliakimu Mnzava akipanda mti katika hafla ya uzinduzi wa tenki eneo la Airport Mangamba.
kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru KItaifa 2024 Ndugu Godfrey Eliakimu Mnzava akifungua tenki la kusambaza maji lita 500,000 eneo la Airport Mangamba, Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mh.Mwanahamisi Munkunda, Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini Mh.Mtenga ,Mkurugenzi Mtendaji Mtuwasa Eng.Rejea Samweli Ng'ondya,Watumishi Mtuwasa na wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Mtwara.
Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango ametembelea na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa chujio la maji uliopo eneo Mangamba mkoani Mtwara.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mtwara akumuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kuhusu Chujio la Mangamba