Responsive image

1. KWA NJIA YA SIMU

 Tigo Pesa
 •         *150*01#
 •         4 Lipia bili
 •         5 Malipo ya serikali
 •         Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)
 •         Ingiza kiasi
 •         Ingiza namba ya siri kukamilisha malipo
Mpesa
 •         *150*00#
 •         4 Lipia bili kwa M-pesa
 •         5 Malipo ya serikali
 •         1 Namba ya malipo
 •         Weka namba ya malipo (ni kumbukumbu namba yenye tarakimu 12 unayopata kila mwezi
 •         Weka kiasi unachodaiwa
 •         Weka namba ya siri kukamilisha malipo
Airtel Money
 •         *150*60#
 •         5 Lipia bili
 •         3 Malipo ya serikali
 •         1 weka namba ya kumbukumbu
 •         Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)
 •         Ingiza kiasi cha pesa unachodaiwa
 •         Weka namba ya siri kulipia

KWA NJIA YA SIMU

TPesa
 •         *150*71#
 •         5 Lipia bili
 •         3 Malipo ya serikali
 •         Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)
 •         Lipia bili
 •         Weka kiasi
 •         Ingiza namba ya siri
Halo Pesa
 •         *150*88#
 •         4 Lipa kwa halo-pesa
 •         7 Huduma za serikali
 •         Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)
 •         Ingiza kiasi
 •         Weka namba ya siri kukamilisha malipo

2. MAWAKALA WA BANK

banks

Mteja anaweza fanya malipo yoyote kwenda MTUWASA kupitia mawakala wa bank zote mahala popote endapo tu atakuwa na control namba kutoka MTUWASA.

3. BANKS

Mteja anaweza fanya malipo yoyote kwenda MTUWASA kupitia bank zote akiwa mahala popote endapo tu atakuwa na control namba kutoka MTUWASA.

4. APPLICATION YA GEPG TANZANIA

GEPG

JINSI YA KUPATA ANKARA, KUFANYA MALIPO NA KUHAKIKI MALIPO KUPITIA APPLICATION YA GEPG TANZANIA.

A. KUPATA ANKARA

 •         Ingia Play store na utafute application ya Gepg Tanzania
 •         Pakua na kuhifadhi application ya Gepg kwenye simu yako
 •         Fungua application ya Gepg Tanzania
 •         Kasha chagua Water
 •         Chagua more
 •         Tafuta Mtwara Urban Water Suppy and Sanitation Authority
 •         Ingiza akaunti namba yako na kasha utapata Ankara ya maji

B. KUFANYA MALIPO

 •         Baada ya kupata Ankara ya maji chagua pay now
 •         Ingiza control namba
 •         Ingiza kiasi unachotaka kulipa/au lipa kiasi chote kama kinavyonyeshwa kwenye Ankara
 •         Ingiza namba ya siri baada ya kupata ujumbe mfupi ukikuelekeza kuweka namba ya siri kwenye simu yako

C. KUHAKIKI MALIPO MALIPO

 •         Fungua application ya Gepg Tanzania
 •         Chagua payment verification
 •         Chagua control namba
 •         Ingiza contol namba

NJIA ZA KUPATA ANKARA ZA MAJI

Mteja anaweza pata Ankara za maji kwa njia zifuatazo.

 1. Kupitiaa application ya GEPG Tanzania kwa kupita simu janja za mkononi (smart phone)
 2. Kwa kutumiwa moja kwa moja kwa njia ya simu
 3. Kufika moja kwa moja ofisi ya huduma kwa wateja
Laravel